Re: [Mabadiliko] President Kikwete by Lokassa ya Mbongo

Sunday, November 09, 2014
Mkubwa wangu,

Ni nani aliyeanza miradi ya kutafuta gas huko kusini?

Ni nani anayepanga kujenga bandari mpya Bagamoyo?

Ni nani anayetangatanga ughaibuni kuwatafutia Watanzania usaidizi na masoko ya bidhaa zao?

Ni nani anayehesimiwa limwenguni mpaka akawa Raisi wa kwanza kupokeleva na Obama mwaka 2009?

Ni nani aliyenzisha mikakati ya kutunga katiba mpya?

Naweza nikaendelea zaidi. 

Courage

2014-11-08 16:10 GMT-05:00 Shigela Aloyce <comrshigela@gmail.com>:

Wewe Maurice,

Hayo maendeleo aliyoyaleta Kikwete ni yapi? Leo kwenye taarifa za habari za local tv zetu hapa tz walikuwa wanaonyesha jinsi hospitali zetu zisivyo na dawa, watu wanakufa hospitalini kwa kukosa dawa na huduma za kawaida kabisa, hayo maendeleo yako wapi kama taifa halijali uhai wa raia wake ambao ndio wazalishaji wake?

Unasema ni rais mwenye mamlaka halali, sawa, labda ni halali kisheria maana nchi yetu bado ina sheria mama haramu; unasema ana mamlaka dhahiri na ya haki, kisheria ni sawa,maana tupo ndani ya sheria mama haramu, ila ukiitafuta kweli na haki, Kikwete ni rais haramu kama walivyo watawala wengine wengi wa kijeshi barani Afrika na duniani kote.

Sisi watanzania tunaoipenda nchi yetu tunasema yana mwisho haya, na tena mwisho wake hauko mbali!

SA.

On Nov 8, 2014 9:36 PM, "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Amemuimba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete, kwa moyo wa dhati sana.

Kamsifu kama Raisi wa maendeleo !!!!

Hiyo video yenyeve pia yaonesha Raisi aliye na mamlaka halali,dhahiri na ya haki !!!!

Courage

2014-11-08 13:18 GMT-05:00 Shigela Aloyce <comrshigela@gmail.com>:

Maskini Lokasa ya Mbongo, hakumbuki kabisa kilichomkuta babu seya na watoto wake? Ngoja aingie kwenye kumi na nane za mzee atajua utamu wa ngoma!

Nilipoiona hii nikakumbuka makala ya Jenerali Ulimwengu alipoandika makala ya jinsi nchi hii inavyozaereshwa! Yaani kila kitu usanii usanii tu, akakumbusha ya Mobutu Seseseko na huo uzaire wake, wakongoman wakakalia kuimba muziki wakimsifia fisadi Mobutu huku yeye anaimaliza nchi!

Mobutu na Kikwete tofauti yao ni moja tu, mmoja aliiba kura kubaki ikulu wakati mwingine aliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki, yaliyobaki yanashabihiana sana.

Lokasa atengeneze na video, mshikaji atakubali kutengeneza naye hiyo kitu bila kujali kuwa anakalia jumba takatifu la taifa letu!

SA.

On Nov 8, 2014 4:37 PM, "Katulanda Frederick" <fkatulanda@gmail.com> wrote:

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAJRvra1vP5Cwhs%3DLnHTTJAbPKbB2rse9KdshTA8C8YYpzN%3DFfA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWy1D1w5AtAL06Wq7bBDRSNtteO4GwOmbmvK_9HykTAeeg%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr9PRvg7UeYj1OLu6Wbep49pWsbuteBzFLGfQhCKDoduww%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWwaomtFUuiz_UgKAS77njrNeYX2zMxBmKfDDWrr1OyQgA%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr8%2BtCuTxhdi5yL4WboT_U0KEP1oktdtXsZ7j5dwYxTjpw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments