[wanabidii] MTU MMOJA AFARIKI KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA/ SHINYANGA

Saturday, September 13, 2014
MWILI WA MUSSA SHIJA UKIWA KWENYE CHUMBA CHA KUIFADHIA MAITI KWENYE HOSPITALI YA MKOA WA SHINYANGA.VYANZO VYA HABARI VIMESEMA KUWA MAREHEMU SHIJA ALIFARIKI BAADA YA KUPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI WAKATI AKIWA KWENYE TAMASHA HILO USIKU WA IJUMAA.UCHUNGUZI  WA KITAALAMU UMEBAINISHA KWAMBA MAREHEMU ALIPASUKA FUVU LA KICHWA, TAMASHA HILO LILIFANYIKA KATIKA  UWANJA MDOGO WA KAMBARAGE MJINI SHINYANGA.MAREHEMU SHIJA UMRI MIKA 17 MKAZI WA CHIBE MANSPAA YA SHINYANGA AMETAMBULIWA NA NDUGU

HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA NDANI YA  UWANJA MDOGO WA KAMBARAGE UMATI HUU WA WATU WAKISELEBUKA PASIKUJUA YAJAYO

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments