OFISI YA WAZIRI MKUU
KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI – 12/09/2014
MAFANIKIO YA KITUO CHA UWEKEZAJI KATIKA KUHUDUMIA WAWEKEZAJI NCHINI.
TIC inapenda kutoa taarifa kwa Watanzania kuhusu mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kuhudumia wawekezaji nchini chini ya dirisha Moja yaani 'One Stop Facilitation Centre.'
TIC ina jukumu kuu la kuhudumia na kuhamasisha uwekezaji na masuala yanayohusiana na Uwekezaji hasa Watanzania ili Uwekezaji uweze kuwa na manufaa kwa nchi na Watanzania kwa ujumla.
Kituo cha Uwekezaji (TIC) kwa muda mrefu tumekuwa tukihamasisha watanzania washiriki kwa kuanzisha miradi ya Uwekezaji katika sekta mbalimbali nchini. Kutokana na juhudi za Kituo cha uwekezaji pamoja na Taasisi mbalimbali za Serikali, tumeweza kuwavutia wawekzaji wengi ambao ni wafanya biashara kuweza kuanzisha miradi ya uwekezaji kwenye sekta kama vile Viwanda, Utalii, Usafirishaji, Majengo ya biashara.
Hata hivyo bado tunaamini kuwa kuna watanzania wengi ambao wana uwezo wa kuanzisha miradi ya uwekezaji na wengine wameanzisha lakini bado hawajasajiliwa na Kituo cha Uwekezaji. Napenda kuchukua fursa hii kuwahamasisha watanzania kutumia huduma za Kituo cha Uwekezaji wanapoamua kuanzisha miradi yao ya uwekezaji hili waweze kunufaika huduma tuzitoazo.
Kituo cha Uwekezaji (TIC) kinatoa huduma mbalimbali kwa ajili ya wawekezaji wa ndani kupitia dirisha moja yaani "ONE STOP CENTRE" kama ifuatavyo;-
1. Kusajili miradi,
2. Kuandikisha Kampuni
3. Kujisajili na VAT, TIN
4. Leseni mbalimbali
5. Hati za ukazi daraja 'B",endapo utahitaji kumwajiri mgeni
6. Ushauri wa bure kuhusu kodi
7. Usaidizi wa kupata ardhi kwa ajili ya uwekezaji
8. Vivutio vya uwekezaji
9. Kuunganishwa na wawekezaji wan nje kwa ajili ya ubia
10. Usaidizi wa kutafuta masoko kupitia ziara za nje za wafanyabiashara wa Tanzania.
Katika kipindi cha mwaka 2013 TIC iliweza kusajili miradi 885 ambayo inategemea kuzalisha ajira 198,573 na yenye thamani ya dola za Marekani 88134.92 milioni na TIC inajivunia huduma ilizotoa kwa Wawekezaji kupitia dirisha la One Stop Centre kwa upande wa kodi tuliweza kuhumia masuala 3461, Kutoa hati za Ardhi ( Dervarative rights21) Usajili wa Makampuni 23 na kutoa leseni zipatazo 84, na upande wa vibali vya Class A 387 na Vibali vy Class B 1966.Hivyo, tunapenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha watanzania wote kutumia huduma zinazotolewa na Kituo cha Uwekezaji.
Tunapenda kuchukua fursa hii kuwakumbusha watanzania wote kuwa Kituo cha Uwekezaji (TIC) kipo kwa ajili yao na huduma hizi zinapatikana kwa wale wanaozihitaji. Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu tembelea kwenye tovuti yetu ambayo ni www.tic.co.tz.
Imetolewa na Kitengo Cha mawasiliano
Kituo cha Uwekezaji (TIC)
-- KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC)

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments