[wanabidii] FFU Ughaibuni wa Ngoma Africa band kupeleka mzuka katika Karlsruhe Summer Fesival,Ujerumani

Thursday, July 03, 2014


FFU-Ughaibuni kupeleka mzuka Summer Festival Karlsruhe,Ujerumani Jumamosi 5.Julai 2014
 
FFU wameambiwa watake ! wasitake lazima wapande jukwaani !


Karlsruhe,Ujerumani, 

Bendi ya muziki Ngoma Africa Band imelazimika kupambanshwa jino kwa jino na washabiki wa Summer Festival Karlsruhe,siku ya jumamosi 5 Julai 2014. ambapo onyesho hilo limeingiliana  na mwezi mtukufu wa Ramadhani. Baada ya mabishano makali kati ya uongozi wa bendi hiyo maarufu na watayarishaji wa onyesho hilo,sasa wamekubaliana onyesho lifanyike jumamosi 5.Julai 2014 Usiku.
Ngoma Africa band walimwambia mtayarishaji wa onyesho kuwa bendi haiwezikufanya show mchana kwa kuwa baadhi ya wanamuziki wanafunga swaumu.
Promoter kakubali kubadili muda onyesho lifanyike usiku , na FFU hao wa Ngoma Africa band lazima wapande jukwaani

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments