[wanabidii] MJADALA WA BUNGE JUU YA BAJETI YA SERIKALI.

Friday, June 20, 2014
Nipo naangalia mjadala wa bajeti jioni hii: Nimegundua mambo kadhaa:
1. Wabunge ni wachache sana, viunga vingine viko tupu kabisa!
2 Wabunge wengi wako bize na simu zao za mkononi, sasa najiuliza kama kweli wabunge wetu wako lakini au wanasubiri siku ipite wapate posho zao wakalale.
3. Wabunge wengi wako bize kusemezana badala ya kusikiliza mchangiaji, cha ajabu hata mawaziri husika nao wako busy kunong'ona badala ya kusikiliza hoja za wachangiaji ili wawe na uwezo wa kuzijibu kwa uhakika na umakini.

Sijajua kama kweli  waheshimiwa wetu hawa  watatufikisha tunapopatarajia??

Share this :

Related Posts

0 Comments