1. Matajiri maliasili kutumbuliwa..
Hii ni habari inayopewa nafasi ya kwanza na mtandao wa mjengwablog.com. Inahusu rasilimali za nchi na kumekuwa na tuhuma za uwepo wa hujuma kwenye masuala ya vitalu vya uwindaji. Ni mwanzo mzuri.
2.Usalama wa wateja kwenye mabenki shakani.
Hii ni habari kubwa yenye kubeba nafasi ya pili kwa vile inahusu amana za watu, hivyo uchumi wa nchi....
3. Ikulu yamshangaa Mahanga..
Ni habari iliyotarajiwa kuwa na mwendelezo kwa siku ya leo. Makongoro Mahanga anajibiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue juu ya kauli yake iliyoripotiwa kwenye Mwananchi na yenye kupotosha. Kwa kifupi, Makongoro Mahanga ameshindwa kutofautisha kati ya wingi wa mawaziri na wingi wa watendaji serikalini. Ombeni Sefue ameweka wazi kuwa Manaibu Mawaziri na Makatibu Wakuu hawaingii kwenye Baraza.
Soma pia habari nyingine za kurasa za ndani za magazetini na katuni bora ya siku kwa kutembelea; http://mjengwablog.com
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at https://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye57r8d_BbJv47LuhKW9bWXAGgg%2Be95KDRL%2B43MQUsdyBA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments