Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
(TaSUBa)
FOMU YA USHIRIKI WA TAMASHA LA 33 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO
Utangulizi
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo imekuwa na utaratibu wa kuandaa tamasha la kimataifa la Sanaa na Utamaduni. Mwaka huu Tamasha la 33 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo litafanyika kuanzia tarehe 22 hadi 28 Septemba, 2014 katika viwanja vya chuo. Kaulimbiu ya tamasha hili ni Sanaa na Utamaduni katika kukuza Utalii.
Taarifa ya kikundi/Msanii
Jina la kikundi/Msanii
Anuani Wilaya
Mkoa
Idadi ya washiriki/Wasanii Barua pepe Namba za simu
Jina Sahihi Tarehe
Aina ya Maonesho (Sanaa za ufundi na jukwaani)
Weka alama ya pata [√] kwenye aina ya maonesho mnayotegemea kuyafanya kwenye tamasha hili;
Muziki [ ] Sarakasi [ ] Maigizo [ ] Mazingaombwe [ ] Ngoma [ ] Vichekesho [ ]
Sanaa za ufundi [ ] Mengine taja Kwa sanaa za jukwaani, je onesho lako/lenu linachukua muda gani?
Mahitaji ya kikundi/Msanii
Taja mahitaji muhimu ya jukwaani
Uzoefu wa kikundi/Msanii katika kushiriki maonesho/matamasha mbalimbali
( Ambatanisha CD/DVD au picha za uzoefu wa ushiriki wa maonesho mbalimbali )
Kwa MATUMIZI YA OFISI TU.
Fomu Na. imepokelewa tarehe
Taarifa nyingine
Jina Sahihi Tarehe
Kwa mawasiliano zaidi;
Mtendaji Mkuu, TaSUBa,
S.L.P 32
BAGAMOYO
Barua pepe: taasisisanaa@yahoo.com
Tovuti:www.tasuba.ac.tz
Namba za Simu: +255(0) 715 472745, +255(0) 655 840405, +255(0) 754 310425 and +255(0) 712683 408
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments