basi la sumry lililouwa watu zaidi ya ishirini mpaka sasa huko Singida
aliwaparamia makusudi akidhani ni majambazi.
inasemekana askari waliokuwa nyuma ya gari la polisi wakiwa
wameshikiria bunduki zao walilimulika toch basi la Sumry kama ishara
ya kulisimamisha. inasemekana baada ya dereva kuwaona askari
waliovalia kiraia na bunduki zao, alistuka na kudhani ni majambazi
wako porini kuteka mabasi na ndipo alipoamua kuwapelekea basi ili
kuwamaliza au kuwawahi.
kama hii ni kweli basi maasikari waheshimu kazi kwa kuvaa sare na
kutumia alama maalumu kama vile triangle, utepe mwekundu au waweke
matawi ya miti barabarani kuashiria hatari mbele badala ya kudhania tu
kuwa kila dereva anajua uwepo wao hasa maporini wakati wa usiku.
mimi hata nikisimamishwa na askari porini au mbugani usiku haki ya
nani siwezi kusimama na akijitia kusimama kati kati ya barabara
kjunizuia, Mungu anisamehe maana nitamrejeshia kiumbe wake bila
mamlaka hayo. Tujifunze barabara zetu si salama wala rafiki kwetu. na
sio kila mtu anajua kuwa wewe ni askari bila mavazi maalumu
--
kamala J Lutatinisibwa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments