[wanabidii] EASTER siyo Pasaka

Sunday, April 20, 2014
Bali ni Upagani. Ona
CHIMBUKO LAKE.
Pasaka kwa kigiriki ni
"Pasach" sawa ni
kiebrania "Pasach".Kwa
kiingereza ni
Passover.Hivyo kwa
tafsiri ya Biblia pasaka
sio "Easter".
Pasaka ni sikukuu ya
mikate isiyotiwa chachu
Matendo 12:1-5.......Na
akiona ya kuwa
imewapendeza
Wayahudi akaendelea
akamshika na Petro.Siku
hizo zilikuwa siku za
mikate isiyochachwa...
...........akit aka baada ya
pasaka kumtoa......... ..
Baada ya Yesu kupaa
mbinguni miaka kumi
baadaye kanisa
liliendelea kuadhimisha
pasaka kama agizo la
Yesu.
Neno "Pasaka" kwa
kiingereza ni "Pass over"
maana"kupita kat".
Katika Agano la kale
oasaka
inazungumziwa.M ungu
alimuagiza Musa kupaka
damu katika miimo ya
milango ya Waisraeli
wakati malaika aki"pass
over" kuangamiza wote
wasio kuwa na hyo
alama
Kutoka 12:12-14;king
James version.......i will
pass over you and the
plague shall not be upon
you to destroy
you.......And this day shall
be unto you for a
memirial.
Hivyo pasaka ni
kumbukumbu ya
wanaisrael toka
utumwani misri na
Mungu akaagiza
iendelezwe hata nchi ya
ahadi kanani.
Leo sisi ni Israeli ya
kiroho tunaadhimisha
kutoka Misri ya Shetani
kwenda kanani ya
mbinguni.Allell uya.....
Katika Agano jipya
1Wakorintho 5:7-8Basi
jisafisheni mkatoe ile
chafu ya kale ... ......kwa
maana pasaka wetu
amekwisha kutolewa
kuwa sadaka yaani
kristo......
Tumekwishaona hakuna
andiko linaagiza utunzaji
wa,"Easter" kama
pasaka.Sasa hili limetoka
wapi,jibu ni rahisi sana
limetoka kwa mama wa
ukahaba babeli Roman
Cathoriki.
Kama ndivyo "Easter" ni
nini ?
‪#‎Easter‬" jina hili
linatokana na "Ostera"
au"Eostre" ambaye ni
"goddness of spring"
mungu wa mavuno
katika nchi za Anglo-
Saxon.Bab eli anaitwa
"Ishtar",Syria anaitwa
"Ashtaroth",Kie brania
amaitwa "Ashtoreth",
Kigiriki anaitwa"Eostre"
Germany
anaitwa"Ostera"
"Ishter" hutamukwa
"Easter" ni siku ya
mungu "Tamuz" ambaye
ni mtoto wa pekee wa
mungu jua na mungu
mwezi
Nimrod ni mjukuu wa
Nuhu kwa kijana wake
Ham.Ham alikuwa na
kijana anaitwa Cush.Cush
aliowana na Semiramis
wakapata mtoto
anaitwa "Nimrod"
Baada ya kifo cha baba
yake Nimrod akamuoa
mama yake mzazi
Semiramis akawa
mtawala mwenye nguvu
sana(read Mwanzo
10:8-10)
Siku moja Nimrod
alienda vitani na
akauawa na adui
zake,Semiramis akasa
Nimrod ameenda juu
kwenye jua hivyo
akaitwa "Baal" yaan
mungu jua (the goddnes
of su).Semiris akaagiza
akubukwe kwa kuwasha
mishumaa wakati wa
ibada(ndivyo
wanavyofanya
madhehebu ya juma pili
mpaka leo)
Semiramis akajiita
"Ishtar"(easter ) mungu
mke "moon
goddnes".Huyu "Ishtar "
akatbea na kijakazi wake
akapata mimba akasema
kapata mimba,kupitia
"sun rays" kutoka kwa
"Baal"(Nimrod) mungu
jua au mungu mume.
Akazaa mtoto akamwita
"Tamuz"
.Kijana huyu aliyauawa
na Nguruwe pori
alupokuwa akiwinda.
"Ishtar" anaabudiwa
kama "mother of god
and queen of heaben".
Ndivyo wanavyofanya
Roman Cathoric had
leo."Ishtat" wanuita
"Bikira Maria"
Baada ya kifo cha
"Tamuz " mama yake
akatangaza siku 14 za
maombolezo akapiga
marufuku ulaji wa
nyama had leo Roman
ktk 'Easter" awali nyama.
(Every year on the first
Sunday after the first full
moon after the spring
equinox a celebration
was made until today).
"Ishtar/ Ashtoreth" is
queen of Heaven,
"EASTER" ni
kumbukumbu ya
"TAMUZ" kwa "Ishtat"
Waamuzi 2:11-13-
inazung umza taifa
lilivyi asi na kumwabudu
"Baal"
1Samwel 7:3-4-Samweli
aligeukia Baali na
Ashtoreth
1Wafalme 11:4-6-
Suleimam alivyomuoa
mwanamke wa
kimataifa akamgeuza na
kuabudu "Ashtoreth"
MUNGU ANACHUKIA
IBADA HII YA "BAAL NA
ASHTORETH"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments