[wanabidii] VURUGU KUBWA ZANZIBAR - KUNDI LA UAMSHO LAHUSISHWA

Thursday, March 13, 2014


Kimenuka huko Zanzibar sasa hivi baada ya Kundi la Uamsho kuleta vurugu na kuanza kupiga mawe magari ya serikali huku wakijerui wafanyakazi wa serikali .. Picha hapo juu inaonesha gari la Katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi mheshimiwa Khamis Musa likiwa limepinduliwa na kikundi hicho uamsho, katika gari hakuwemo katibu hyuo mkuu bali  alikuemo dereva wake ambae mpaka sasa hali yake inaendelea vizuri

Tutaendelea kuwajuza kinachoendelea huko zanzibar 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments