[wanabidii] TUJADILI RASIMU YA KATIBA MPYA - Sura ya Nne kifungu namba 32

Tuesday, December 31, 2013
NAOMBA MSAADA TAFADHALI:

Rasimu ya pili ya katiba:

Sura ya Nne kifungu namba 32

Kifungu kidogo cha 5 na 6

(5)"Ni marufuku kwa mtu, kikundiau taasisi ya dini kutumia uhuru wakutangaza dini kwa namna ambayo italeta uvunjifu wa amani,kujenga chuki au kuchochea vurugu na ghasia kwa madai ya kutetea imani au dini hiyo.

(6) Dini na imani ya dini haitatumika kwa namna yoyote itakayowagawa wananchi, kuletauhasama au kuharibu amani miongoni mwa wananchi."

Utata wangu je

1.waislamu wakiandaa Muhadhara na kuhubiri kua YESU si Mungu watakua wamekashifu imani nyingine?

2.Kama Wakristo nao wakaandaa Muhadhara na kudai kua Yesu ni Mungu watakua wamkashifu Imani nyingine kama za Waislamu ambaowanaamini Yesu SI MUNGU?

Tafsiri ya Neno kukashifu ni ipi ikiwa hicho unachohubiri ndio mafunzo ya Dini yako??

Wanaojua kesi ya Dibagula watakua wamenielewa zaidi.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments