[wanabidii] Star Times Kingamuzi ni kero

Friday, September 20, 2013
Jamani hiki kingamuzi cha Star Times kina nini badala ya kuwa digitali naona ni analogia original kwani baadhi ya Tv kama
ITV, Star TV, EATV  havioonekani na zikionekana zinakatika katika na scrach nyingi. Au ndio uchakachuaji wa Kichina? Jirekebisheni wazee kwani tutahamia vingamuzi vingine ambavyo sio kero na hakuna malipo ya kila mwezi kama nyinyi.  
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments