[wanabidii] MITANDAO YA SIMU

Sunday, August 04, 2013
Comrades;
Naomba kuuliza hasa kwa wenzetu wanaohusika katika mitandao ya simu,je hakuna uwezekano wa kufanya 'Linking' kati ya MPESA,TIGO PESA,AIRTEL MONEY etc na VOCHA za simu, kwamba ukiwa na muda wa maongezi wa Tshs 20,000/= katika simu kuubadilisha na kuweza kuutuma maka MPESA n.k?
Nauliza hili kwa minajili ya kuendelea kufanya maisha rahisi kwa jamii zetu.
 
Reuben

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments