Mwaka 1956 utawala wa Makaburu uliwakamata watu 156 akiwamo Nelson Mandela. Waliwafungulia mashtaka ya uhaini. Na baada ya hapo ikapigwa marufuku ya mikutano na mikusanyiko yoyote ya kisiasa. Na Nelson Mandela anasema;
" Marufuku ile ilikuwa haina maana yeyote, maana, karibu wajumbe wote wa Kamati Kuu ya Taifa ya ANC ( Wajumbe wa NEC) walikuwa miongoni mwa waliokamatwa. Hivyo, kila jioni, tukiwa kwenye mapumziko yetu gerezani, tulikusanyika na kuongea mambo yetu ya siasa!"- Nelson Mandela.
Maggid
0754 678 252
http://mjengwablog.com/
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments