Na Maggid Mjengwa,
Ndugu zangu,
Kwa wenye kufuatilia simulizi hizi mtaniwia radhi kuwakatisha uhondo wa simulizi kwa siku tatu zilizopita. Ukweli nilibanwa na majukumu mengine ambayo hayakupaswa kuwekwa kando.
Bila kuchelewa na tuendelee na simulizi yetu. Tunaona sasa, kuwa Mandela, kwa kutamka mwenyewe pale Addis Ababa, kuwa atarudi nyumbani Afrika Kusini kuendeleza Umkhoto we Sizwe kwa maana ya mapambano ya silaha dhidi ya utawala wa makaburu, basi, Mfalme Haile Selassie ama maarufu kama ' Simba wa Yudah' alimwandalia Mandela mafunzo maalumu ya kijeshi.
Ni kwa vile Mandela alitarajiwa kuongoza harakati za Umkhoto we Sizwe na hakuwa na elimu na maarifa ya masuala ya kijeshi. Hivyo,... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/4260-simulizi-za-mzee-madiba-simba-wa-yudah-alipompa-mandela-mafunzo-ya-kijeshi.html#.UfY5xm2CDTo
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments