NAFASI ZA AJIRA ROOLEN SECURITY DSM1. OPERATIONS MANAGER ANATAFUTWA Kampuni ya ulinzi ya Roolen Security inamhitaji haraka Operation Manager Sifa: Awe na uzoefu wa kazi wa miaka mitano na leseni ya udereva wa gari au pikipiki. Umri kuanzia miaka 30. Mshahara mnono utatolewa, wasiliana nasi kwa simu namba 0655 262626-DAR ES SALAAM xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx2.ADMISTRATION ASSISTANT ANATAFUTWA Anatakiwa awe na miaka kuanzia 21, mtanzania anayemudu vema lugha ya kiingereza na Kiswahili pia awe na uwezo wa kutumia kompyuta, aliye na sifa awasiliane nasi kwa simu namba-0655 26262626-DAR ES SALAAM. xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx 3.WALINZI WANAHITAJIKA HARAKA Mwombaji awe wamehitimu darasa la saba na kuendelea, mtanzania mwenye umri wa miaka 23 na kuendelea na awe na wadhamini wawili wa kueleweka. Mshahara mnono utatolewa, wasiliana nasi kwa simu namba 0655 262626-DAR ES SALAAM.
Going? | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Invitation from Google Calendar You are receiving this courtesy email at the account wanabidii@googlegroups.com because you are an attendee of this event. To stop receiving future notifications for this event, decline this event. Alternatively you can sign up for a Google account at https://www.google.com/calendar/ and control your notification settings for your entire calendar. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments