Kuna tetesi nnyingi kwamba waliopata kikombe cha babu wameanza kupukutika
sasa kwa wale watakaohudhuria msiba wa askofu Laizer wambane wa Bbau wa Loliondo na Maswali hayo maana atakupo ,kumzika kiongozi wake wa kidini ambaye alimsaidia kipindi kile cha mlipuko wa kikombe.
kama kumbu kumbu zipo sawa askofu huyo ndio alikuwa kiongozi wa kwanza wa dini kupata kikombe na kutangaza kuwa amepona kabisa kisukari wengine wakaanza kumiminina.
sasa babu wa loliondo atumbia madai kuwa wateja wake wameanza kumalizika ni kweli?
Askofu Laizer alianza kuugua mapema mara baada ya mgogoro kuanza kushika hatamu, haijafahamika moja kwa moja kama ugonjwa wa Baba Askofu una uhusiano wa moja kwa moja na mauti iliyomfika.
Baba Askofu Laizer atakumbukwa kwa ujasiri wake wa kuikosoa Serikali pasipo woga, lakini puia atakumbukwa sana Kipindi cha Babu Wa Loliondo na Kikombe chake Cha Tiba.
gazeti la annur linaandika
Je, serikali ilihofia kitisho
cha Askofu Laizer kwamba
kanisa litambana na yeyote
atakayebeza ndoto za Babu?
cha Askofu Laizer kwamba
kanisa litambana na yeyote
atakayebeza ndoto za Babu?
Walipodaka Maaskofu,
hapo tena waandishi wa
habari wakapata sherehe. Kila
kukicha ni Loliondo habari
mpya mpya za kuhimiza watu
kwenda zinaibuka.
"Sumaye atinga Loliondo",
"Wassira, Mkono nao watua
kwa Babu", "Magufuli
apata kikombe", "Magufuli
apeleka shilingi bilioni
m o j a L o l i o n d o " , " O l e
wake atakayemgusa Babu
wa Loliondo, Kanisa laapa
kupambana kumlinda",
"Serikali yanywea kwa
Mchungaji Loliondo, yabariki
hapo tena waandishi wa
habari wakapata sherehe. Kila
kukicha ni Loliondo habari
mpya mpya za kuhimiza watu
kwenda zinaibuka.
"Sumaye atinga Loliondo",
"Wassira, Mkono nao watua
kwa Babu", "Magufuli
apata kikombe", "Magufuli
apeleka shilingi bilioni
m o j a L o l i o n d o " , " O l e
wake atakayemgusa Babu
wa Loliondo, Kanisa laapa
kupambana kumlinda",
"Serikali yanywea kwa
Mchungaji Loliondo, yabariki
0 Comments