[wanabidii] Fwd: [tanzanet] Dear Mwalimu Nyerere

Saturday, November 03, 2012


Sent from my iPhone

Begin forwarded message:

From: Dar Millionaire <dar.millionaire@gmail.com>
Date: November 2, 2012, 6:20:36 PM PDT
To: list@tanzanet.org
Subject: [tanzanet] Dear Mwalimu Nyerere
Reply-To: list@tanzanet.org

Dear Mwalimu,

Tangu uondoke mambo yamebadilika. Mlima Kilimanjaro umehamia Kenya, na
ziwa Nyasa Malawi.

Tanzanite inapatikana Kenya na Afrika Kusini. Makaburu ndio wawekezaji wakubwa.

Sheikh Ponda ndio IGP wa Bara, na Sheikh Farid wa Zanzibar, japokuwa
wote hawajateuliwa na Rais.

Historia pia imebadilika. Taifa letu kumbe limetokana na muungano wa
Pemba na Zimbabwe, na tulipata uhuru mwaka 11961.

Mengine zaidi nitakusimulia siku nyingine. Alamsiki.

--
Experience can make you better or bitter.

_______________________________________________
LIST@tanzanet.org
http://tanzanet.org/mailman/listinfo/list_tanzanet.org

Share this :

Related Posts

0 Comments