"Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuunda chombo maalum kitakachoratibu na kusimamia masuala ya Mafuta na Gesi katika harakati zake za kujiimarisha kiuchumi pamoja na kustawisha maisha ya wananchi wake. Balozi Seif alisema Zanzibar tayari imeshaiandikia Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuiomba suala la Mafuta na Gesi litolewe katika Mambo ya Muungano kwa lengo la kupata nguvu na fursa zaidi za Kiuchumi."
Kaka Matinyi, kama ulivyoeleza kabla kuwa mkwara unasaidia wakati mwengine! Haya sio mambo waliyokuwa wakiyapigania UAMSHO?
...bin Issa.
0 Comments