dalili za mwanzo Abba Ngwilangwa ambaye ni Mwanasheria na ana
Shahada ya Pili ya Uongozi wa Biashara anaoneka wazi kuweza
kushinda kiti hicho.
Wakati wagombea mwenzake anayemkaribia ni Tumaini Msowoya ambaye ni
mwanahabari wa gazeti la mwananchi anaoekana kukosa ushawishi kwa
wajumbe vijana wa CCM wa mkoa huu ambao ni ngome mojawapo ya CCM.
Ikumbukwe kuwa CCM inafanya chaguzi zake kwa kusudio la
kukiimarisha chama chao.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments