[wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA

Friday, October 26, 2012
wakati sakata la kijana wa Mbagala kukojolea kitabu kitakatifu likiwa
bado bichi mahakamani.
Huko Pemba maeneo ya Chakechake kijiji cha Wawi mwislamu amekashifu kitabu
hicho kwa kukikojolea kumvisha mbwa tasibii na kumlazimisha mama yake
kumpakata mbwa huyo.

Mtu huyo mwanamme baada ya kutenda tukio hilo kajipeleka mwenyewe kwa
shehe na kumtaarifu kuhusu hilo
Tayari kijana huyo amekwishafikishwa kwenye vyombo vya sheria ili
sheria ichukue mkondo.
Tofauti na mbagala hapakuwepo na maandamano wala uharibifu wa mali za
kanisa au msikiti wowote.

Jamani sasa dunia sijui inakoelekea ni wapi, inabidi tuiombee nchi
yetu na kuiepusha na mabalaa haya.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Related Posts

0 Comments