[wanabidii] Kipindi Kipya cha Television Channel ten! Kesho jumapili saa 12:00 jioni

Saturday, October 20, 2012

Wakubwa,

Unaombwa kutazama kipindi kipya cha Television kiitwacho "Barua kutoka kanda ya Ziwa" kila siku ya Jumapili saa 12:00 Jioni channel ten .Kipindi hiki  kilianza kurushwa October  14,2012.

 

Kipindi hiki ni cha dk 30, ni kipindi cha kwenye field siyo studio na kwa asilimia kubwa mfumo wake ni wa uibuaji wa masuala yaliyojificha katika jamii hasa maeneo ya pembezoni hasa vijijini (Ni cha uchunguzi).Mtayarishaji mkuu wa kipindi hiki ni mimi mwenyewe .

 

Husikose kutazama kesho jumapili saa 12:00 jioni. Ambao hawakuweza kutazama kipindi kilichopita mnaweza kukitzama online hapa chini.

 

http://www.youtube.com/watch?v=Fx9OMeinkkI&list=UUFCLGtpz8OxzHPgErCvGC8w&index=1&feature=plcp



Email ya kipindi ni baruatv@hotmail.com

Mungu awabariki sana

Wasalaam,

Mathias Byabato

0754 527358

Host :Barua kutoka Kanda ya Ziwa


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments