Tabia ya kuku kudonoana si ngeni kwa wafugaji wengi maana hujitokeza sana kuanzia kwa wafugaji wadogo na wakubwa. Tabia hii ni mbaya sana kwani huanza kama tabia ya kawaida lakini huplelekea kuku kufa kwa madhara yatokano na kudonoana. Jifunze ni nini cha kufanya uonapo tabia hii au kuzuia tabia hii isijitokeze kwenye kuku wako kwa kusoma hapa http://achengula.blogspot.com/
To all the questions of your life YOU are the most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments