[wanabidii] Ukawa na Makapi ya CCM

Monday, August 24, 2015
UKAWA: you'r sowing a seed of your own destruction.

Kuwachukuwa hayo makapi makubwa mawili, ilihali Slaa na Lipumba wameukimbia ukawa, ndo kifo chenu. Watu makini kuwaelewa kwa sasa ni ngumu sana. Mtabaki na vijana wahuni tu na wasiokuwa na uwezo wa kutafakari.

Lowassa na Sumaye wote walikuwa ndan ya mfumo wa Ccm kwa vipindi tofauti. Leo hii wanajiunga na nyie ili kuitoa Ccm madarakani na walete mabadiliko, yapi?

Hebu acheni kutudanganya cc co watoto.
Na istoshe, hao hao mnaowapokea ndo mlishawahi kuwashambulia kama wezi na mafisadi sugu, mbona mnakuwa wanafiki na wadhandiki wanene hvo!?

Hii ni hatari sana, mabadiliko ya kweli yangeletwa na "REAL UKAWA" hata bila hayo makapi na hapo ndo tungeweza kuwasapoti na kuwaelewa. Lakini kwa hayl, inaonesha na nyie pie hamko na nia njema na hii nchi, dhambi ya Slaa na Lipumba lazima iwatafune, Kumbukeni Lipumba ndo alimuwa mwasisi rasimi wa ukawa.
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments