[wanabidii] BAADHI YA WANAJESHI WASUMBUA TENA RAIA KATA YA KIMBIJI WILAYA TEMEKE-DAR

Thursday, August 27, 2015







KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WANAJESHI WASUMBUA TENA RAIA KIMBIJI-DAR
wanalazimisha raia kuhama maeneo yao Kinyume na sheria ili wateke ardhi !

Wakazi wa kata ya Kimbiji wilayani Temeke nje kidogo ya jiji la Dar,wamejikuta wapo katika mashaka ya maisha tena,baada ya baadhi ya wanajeshi wanaodaiwa kuwa nania ya kuchukua maeneo wenyeji kwa kutumia nembo ya kofia ya jeshi. wanajeshi hao walivamia maeneo
ya Kata ya Kimbiji/Ngobanya wakiwanyanyasa raia kwa kuwalazimisha wahame katika maeneo yao.mkasa huo ulitokea siku ya jumapili ya 23 -08-2015,
Wakazi wa Kimbiji wamekuwa wakipata vitisho kutoka kwa baadhi ya wanajeshi ambao wanataka kuchukua viwanja kutoka katika maeneo ya raia bila ya ridhaa ya raia ambao ndio wenyeji wa eneo.
Wakazi wa kata ya Kambiji wanaiomba serikali kulinda masalahi na haki za msingi za raia ambazo ni haki za binadamu kuliko kuwaacha baadhi
ya wanajeshi kusumbua raia.
Wakazi wakimbiji wanamiliki maeneo yao tangu enzi na enzi leo wanajeshi wanapotaka kudhurumu ardhi raia wakaishi wapi?
wanajeshi wana eneo lao wamelipima kama shamba lipo Kimbiji/Kijaka sasa?
mbona wanasumbua raia !
VYOMBO VYA DOLA VINAOMBWA KULIINGILIA KATIKA SUHALA HILI.maelezo zaidi mwenyekiti 0713846688 au 0713768082


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments