nimeicopy kama ilivyo kutoka sehemu
Chadema huwa ni wazee wa defence mechanism,
Walianza kuhakikisha mkutano wa Mwembe yanga haufanyiki.
Waliposhindwa kuuzuia wakarukia kutangaza Mkutano pacha,kuwa Chadema itakuwa na mkutano mkubw Kawe.
Baada ya wana mkakati wa chadema kugundua kosa kuwa endapo watakosa watu kutokana na umati mkubwa kufurika Mwembe yanga,wakaja na plan C.
Ikawa kuongea na wazee wa Dar es Salaam pale Plue pearl Ubungo na wakawa live ITV kama sehemu ya kujifurahisha.
Mkutano wao haukufua dafu Mbele ya Mafuriko ya Mwembe yanga.
Wananchi wamenufaika sana na Mkutano wa Mwembe yanga.
Mwisho tumetoa Orodha ya Majina ya kwa wanahabari ili kupatikane msukumo wa pamoja kati ya vyama vya siasa,wananchi na vyombo vya habari.
Chademe waliowatuma wahuni 25 kuja kuzomea kwenye mkutano wamechanganyikiwa kutokana na hamasa.
Baada ya hila zao zote za kuhujumu Mkutano kushindwa,sasa wamebadili wimbo.
Ile kauli kuwa ACT ni chama cha Mwandiga wameisahau na sasa wameibuka na propaganda mpya ya kupinga majina yaliyomo kwenye orodha ya walioficha fedha.
Kwakuwa leo kumefanyika Mikutano miwili na yote kurushwa hewanu na TV,tusubiri kwenye magazeti kesho,chama gani kitateka vyombo vya habari kutokana na agenda walizozibeba.
Chama cha zamani huwezi fananisha na chama kipya kinachoongoza na watu wenye historia ya mapambano.
Hiyo ndiyo ACT-Wazalendo
Mlitufukuza,Mkatudharau ,Mkatucheka lakini wananchi wametupokea.
Asante sana Mwembe yanga.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments