Jamani nia zimetangazwa lakini kweli hapo ndo inaonekana kuwa siasa ni kubebana tu. Huwezi amini wagombea wengine hata kujiuza au kutangaza nia hawawezi. hii ni aibu Sasa nawapinzani alimaarufu kama Ukawa nao wamekaa kimya nia hawataki kutangazaKulikoni?
Mnyahela
0 Comments