Kampuni ya CPM Business Consultants imeandaa semina ya siku tatu...kuanzia tarehe 16-18/12/14. Mambo yatakayofundishwa ni pamoja na utengenezaji wa sabuni za aina zote,ufugaji wa kuku,Kilimo cha uyoga....pamoja na mbinu za kuanzisha biashara endelevu...na namna ya kutafuta masoko katika biashara yako...Semina itafanyikia kuanzia saa 3asubuhi mpaka saa 9alasiri... SINZA KWA REMY..ukumbi wa THE MAJESTIC HALL KARIBU NA JAZZY PUB...NA KIINGILIO NI SHILINGI 10000/=TU.KWA MAWASILIANO ZAIDI NA KUJIANDIKISHA PIGA SIMU NO: 0755394701
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments