[wanabidii] nafasi ya kazi

Wednesday, December 10, 2014
Wapendwa napenda kuwasalimu ktk jina la mwenyenzi mungu, jioni hii napenda kuwaletea nafasi hii ya kazi, kwa mwenye ndg, rfk ama hata jirai amshtue, anatakiwa huyu mtu haraka sana
Kwa kuongezea tu, nafasi hii ya kuja kuwa CEO wa kampuni yenye makampuni 4 na  mtu huyu anatakiwa awe ni mpambanaji kweli kweli, anaejua kuongoza watu na mweenye kuleta matokea  kama ilivyopangwa
Mweney nayo anipigie haraka nimpangie interview, hakikisha umewtimniza vigwzo haswa uzoefu ktk kuendesha makampuni ya kibishara, supermakets,nk
soma vigezo kwenye atttachement
simu yangu hii hapa 0652 314181 kwa ajili ya kupanga interview
atume cv na vyeti kwa email yangu haraka kuanzia leo mwisho ni ijumaaa....Wahindi, wanawake na hata wanaume wenye uzoefu wa kutosha ktk  kusimamia biashara kama hizi wanapewa umuhimu zaidi
mbarikiwe
mollel
Consultant
Interview Coordinator

Share this :

Related Posts

0 Comments