[Mabadiliko] SHEREHE ZA KUFUNGA MWAKA

Tuesday, December 09, 2014
Baaada ya kushiriki pamoja katika kujadili mamabo mbalimbali yanayohusu taifa kwa mwaka wote wa 2014, nataka kujua tunamaliza mwaka kwa style gani. Je tunakutana kwenye mikoa yetu tuliyopo na kufanya farewell party au inakuwaje? Hii ni muhimu manake tumeshuhudia ushirikiano mkubwa mbali na majibishano makali  ya hapa na pale baina ya wanamabadiliko kadhaa. Nadhani itakuwa ni muda muafaka pia kwa ndugu yetu Ludovic kufurahia kuwa huru.

Nawakilisha

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAO8fFs6NwX3BUy1pJbyDcMrStBFk%2BpUBK10dsahewzk31Nyjew%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments