[wanabidii] PADRI MTANZANIA ANAYETUHUMIWA KULAWITI AFIA NCHINI MSUMBIJI

Monday, November 17, 2014
MTUHUMIWA wa kesi ya kulawiti mtoto wa kiume, aliyekua akitafutwa na mahakama ya rufaa Sixtus  Kimaro ambaye alikutwa na tuhuma hizo wakati akiwa Padri katika kaniska katoliki jimbo kuu la Dar es salaam amefia nchini Msumbuji  na mwili wake umesafirishwa kuja Dar.

Taarifa za kifo cha Padri huyo zililifikia Gazeti hili wakati tayari mwili wake ukiwa umefikishwa katika hospitali ya Jeshi JWTZ,Lugalo na baadaye zilithibitishwa na Askofu mkuu wa Jimbo Denis Wigilla.

Padri Wigila alisema taarifa za mazishi zinafanyika chini ya familia yake kwani tayari aliashaacha kazi ya Upadri hivyo kanisa halitahusika na taratibu za mazishi zitakazofanyika Mkoani Kilimanjaro.

Julai mwaka huu Padri huyo alitoroka n chini baada ya kuhiukumiwa kifumngo cha miaka30 jela ambapo alikua na mashtaka matatu ikiwemo kumlawiti motto wa kiume wa miaka17,shambulio la aibu na kumdhalilisha mtoto huyo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments