[Mabadiliko]

Monday, November 17, 2014

Sio tusi ni usemi tu tena ninayo sineni yasha nenwa na waneni siku zote mtumwa mpumbavu husifia mng'ao wa mnyororo singoni mwake ila alie mwerevu hulia na kusaga meno kamba ikigusa ncha ya kidole chake cha mkono .sasa yawaje mheshimiwa una shangilia uhuru hali yakua upo utumwani hii ina hitaji tafakari kali ama unaonyesha uzoefu mlio nao wa utumwa ? Maana haikutosha waraabu ? Ccm haina hati miliki ya aridhi hii na mungu hakuumba binadamu wanyongeza katika tumbo la aridhi ya nchii wasio na haki ya kujitawala na kutawala . Ama ni afadhari  mmoja akapone USA huku wengine wakifa kwa mgomo wa MSD sasa utuambie hao nihao wanaozika ndugu zao kwa kukosa dawa hospital ndio walio andaa vitanzi vya wapinzani? Ama ni wale intarahamwe wanao ng'oa makucha wenzao mkuu tafakari watanzania wa leo sio wale wajana " heri kurudi tanganyika kuliko utumwani tanzania" napita tu mkuu hujambo?

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAAuYBmcgWf2RCzjyDXfMKY%2Bz7YenNehEbYpoC5kZiMcfSe6XNQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments