Re: [wanabidii] Re:Mkapa:Tusiache watu wazuri kwa kashfa zisizo na mashiko

Monday, November 10, 2014
well said Muhingo

2014-11-09 22:08 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hebu tujaribu kujadiri mana: Tusiache viongozi wazuri kwa kashfa zisizo na mashiko:
Tunaotaka kujua kashfa zisizo na mashiko na zilizo na mashiko.
Kama kuna kiongozi anatuhumiwa kwa kashfa zilizo na maana basi Mkapa hao sio anao waongelea. Lakini kama kuna kiongozi ambaye kashfa zinazomkabili hazina mashiko basi tusiwapoteze hao. Tanzania tunao wote na nitatoa mifano ya wazi:

Dr Slaa anatuhumiwa kumtorosha mke wa mtu. Kuna watu wanaona hiyo ni kashfa ya kutoksha kumnyima uongozi wa taifa hili. Ushauri wa Mkapa huyo tusikubali kumpoteza maana kashfa hizo hazina mashiko kweli.

Tunaye mathalani Ndugu Edward Lowasa. Tume ya Mwakyembe ilimtuhumu kuliingiza taifa kwenye mikataba inayolipa capacity charges ambazo kwa sababu yake bei ya umeme haiwezi kuteremka hata tukianza kutumia gas. Tena kwa taarifa ya tume kuna mambo waliyobakiza. sasa tuhuma hizo zina mashiko kwa hiyo kiongozi huyo siye anayeongelewa na Mkapa.

Ndiyo maana ya mada hapo juu. Tuwemo sasa
--------------------------------------------
On Sun, 11/9/14, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Re:Mkapa:Tusiache watu wazuri kwa kashfa zisizo na mashiko
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Sunday, November 9, 2014, 5:50 PM

 Ngupula,unataka niseme mara ngapu kuwa namtaka Warioba?
 Unachtakiwa kuniambia ni udhaifu wake kulinganisha na hao
 mnaowataja ili nibadilishe mwelekeo


        From: 'ELISA
 MUHINGO' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
  To:
 wanabidii@googlegroups.com
  Sent: Wednesday,
 November 5, 2014 6:09 PM
  Subject: Re:
 [wanabidii] Re:Mkapa:Tusiache watu wazuri kwa kashfa zisizo
 na mashiko

 Kama tunamtafuta wa aina ya Nyerere na Sokoine
 tunaweza kuwapata. Tatizo letu ni kuangalia ndani ya CCM
 wakati mfumo tulio nao ni wa vyama vingi. Naomba nikomee
 hapo ili kapengele hako (ka kuangalia nje ya box) kaangaliwe
 kwenye mjadala huu.
 Elisa
 --------------------------------------------
 On Wed, 11/5/14, 'ngupula' via
 Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

  Subject: Re:
 [wanabidii] Re:Mkapa:Tusiache watu wazuri kwa kashfa zisizo
 na mashiko
  To: "'Fred Hans
 Kipamila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Wednesday, November 5, 2014, 4:50 PM

  Alikuwepo mwinyi,hakuwa
  mwizi,lkn alikuwa na Mike mwiz sugu..na
 pia,uongoz wake
  legelege ulifanya watu
 wengi wakaiba sans. Na
  kimsingi,taïfa
 lilifilisika kabisa. Alikuja mkapa,yéyé

 kaz alipiga sana. Ndio watu weng waliiba sana,lkn maumivu
 ya
  wiz hayakuonekana Sana coz tija
 ilikuwa
  kubwa..kikwete,yéyé anaiba sana.
 Tija kwa ufanis wake soi
  kubwa sana, ndio
 maana malalamiko ni meng. Ndugu Fred,chagua

 kiongoz Wa aina ipi wamtaka?kumbuka Wa aina ya nyerere au
  sokoine hutompata.


  'Fred Hans Kipamila'
 via Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

  Tuonyesheni mapema
 huyo mtu
  strong mnayetaka tumchague hata
 kama ni mwizi, tupate kupima
  hasara
 tutakayopata kwa wizi wake kulinganisha na faida
  tutakayopata kwa ustrong wake. kama mzani
 utatuonyesha kuwa
  tutapata faida basi
 tumchague

    
     From: 'ngupula'

 via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
   To:
  wanabidii@googlegroups.com

   Sent: Tuesday, November

 4, 2014 9:04 PM
   Subject: [wanabidii]
  Re:Mkapa:Tusiache watu wazuri kwa kashfa
 zisizo na
  mashiko
    
  Moja ya mambo aliyoyaongea Mkapa alipokuwa
  akihojiwa na BBC ni kuwaasa wana CCM kuwa
 wasiache watu
  wazuri,watendaji na wenye
 record zenye tija kwa sababu za
  kashfa mfu.
 Ni aheri kutumia muda mwingi kupambana na kashfa
  lkn mkampa mtu mzuri nchi.miaka kumi ni mingi.
 Mnaweza
  mkamchagua mtu ambaye mnadhani ni
 safi lkn ni legelege,na
  hatimaye nchi
 ikawashinda na wananchi kupoteza imani na

 chama...napenda nichukue nafasi hii kuwaasa wana
  CCM,tunahitaji mabadiliko.tunahitaji mtu
 strong.

  --
  Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email
 kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

 Everyone posting to
  this Forum bears the
 sole responsibility for any legal

 consequences of his or her postings, and hence statements
  and facts must be presented responsibly. Your
 continued
  membership signifies that you
 agree to this disclaimer and
  pledge to
 abide by our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message

 because you are subscribed to the Google Groups
  "Wanabidii" group.

 To unsubscribe
  from this group and stop
 receiving emails from it, send an
  email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.



    



  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

   

  Disclaimer:


 Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences
 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
 to this
  disclaimer and pledge to abide by
 our Rules and
  Guidelines.


  ---


 You received this message because you are subscribed to
 the
  Google Groups "Wanabidii"
 group.

  To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.


 --
 Send
 Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.




 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments