[wanabidii] Fwd: HEADING ZA MAGAZETI KUFANANA!!

Wednesday, October 02, 2013
---------- Forwarded message ----------
From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Date: Wed, 2 Oct 2013 09:25:19 +0300
Subject: HEADING ZA MAGAZETI KUFANANA!!
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>

Nimekuwa najiuliza huwa inatokea namna gani kwamba siku fulani vichwa
vya habari kwenye magazeti yetu vinafanana kwa kila kitu? wakati
yanachapishwa sehemu tofauti, wahariri tofauti na wamiliki tofauti?
na wakati mwingine unakuta habari fulani ya mikoani imetokea vilevile
kwa kila neno isipokuwa jina la mwandishi kwenye magazeti tofauti?
mfano unaweza kukuta magazeti 3 ya siku yameandika heading...BUNGENI
MOTO WAWAKA!..., SERIKALI YAKWAA KISIKI!...NK. inatokeaje hii jamani.
naomba mwenye kujua anisaidie.
asante.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments