Re: [wanabidii] Mkutano wa ACT Mwembeyanga

Monday, November 10, 2014
Kama picha inachokionyesha ndo mkutano wenyewe unaoendelea basi kuna kazi kubwa sana mbele yao. Hapa mjini ni rahisi sana kukusanya watu hata kwa kitu cha kijinga, ukiona wamegoma lazima ujiangalia kwanza.

Wameshindwa nini kutumia mbinu za kuwaleta hata wanavijiji toka Mwanalumango na Kimanzichana kwa mafuso baada ya kupewa fulana na kitu kidogo bila kushau bendi za mziki kama wafanyavyo wakongwe? Au waliopewa pesa wameingia nazo mitini? Wakati mwingine pesa huleta kusambaratika kwa hivi vyama vyetu.

Kuanzisha chama kuna gharama zake kubwa na ndiyo maana vijana wanapovamia vyama wanatakiwa kuwa na subira kwanza siyo kuanza kudai haki lukuki bila kuangalia nguvu na gharama zinazovipa uhai vyama hivyo

On 10 November 2014 02:29, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Jazenk watu kwenye picha basi mie nilioofungua kwenye simu yangu nilikuta wameshaondoka kabaki huyo jamaa

On Nov 9, 2014 12:53 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments