Re: [Mabadiliko] WANANCHI WANA ELIMU YA KUTOSHA JUU YA WAGOMBEA BINAFSI?

Monday, November 10, 2014

Karibu Aliweiwei. Tuliku misss..

Labda tusaidiwe na waliojua vzr haya mambo: kwani suala la mgombea binafsi lomeruhusiwa tayari? Sio kwamba mpaka katiba pendekezwa ya ccm ipite ndo mgombea binafsi aruhusiwe?

Maana sijasikia kama kuna amendments za katiba hii ya ccm zimefanywa kuruhusu hilo na mengine kama tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu.

Wenye taarifa zaidi watujuze.

On Nov 10, 2014 4:29 AM, "Aliweiwei Machibya" <aliweiweimachibya@gmail.com> wrote:
Samahani  Mwanangu Leila. mdogo wangu  Augustine, Shgela,ikwalala na Mbuge Dk peter D. kafumu na wanajukwa kwa ujumla. 
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mwaka 2015,Je nafasi ya wagombea binafsi, wapiga kura  wanaelimu ya kutosha ? kwa mtazamo wangu kama elimu ya uraia hajatolewa vya kutosha juu ya suala hili, wagombea binafsi wataonekana kama vinyago kwa wananchi , pili katiba inasema nini juu yao kuhusu ruzuku na katika maandalizi yao ya kujinadi Je watagharimiwa na nani nawasilisha wanajukwaa. 
Aliweiwei Machibya

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEWjnYXbFkkz-D_SFWb9MorJbYK%3DowvZz%2Bwug4cwyooLPDnoJw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADVpsxSJ3C48e%3D7-PuawUrPnwZnHV_y0%3DCbbhTxAR4KAZZJFnQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments