Re: [Mabadiliko] JE, NI LAZIMA TEZI DUME ITIBIWE MAREKANI KWA MABILIONI YA FEDHA?

Tuesday, November 11, 2014
Dr. Rukoma,

mie siwajui ila huyo alitajwa na Leila kwamba ni dakitari pekee nchi nzima anayeweza kuondoa mabusha. Kwakuwa sina taarifa wala takwimu ndipo nikauliza kwamba Dr. Yongolo alikuwa ametingwa na kazi nyingi na hakuweza kumtibu mkuu?

Huyu jamaa akija ughaibuni na kukutana na Watanzania huwa hakosi kutukejeli..."jengeni kwenu, msije mkarudi na watoto wamezoea vyoo vya kuflash halafu mkawapeleka kwa wazee wenu vyoo vya shimo, watoto wataogopa kujisaidia.....mtaumbuka..." sasa na mimi namuuliza kwanini na yeye asijenge Muhimbili, hata busha mpaka mabilioni yetu yatumike majuu? Yeye hapo hajaumbuka?

Ndo hawa hawa Wamarekani alowasema Membe eti wana wivu na mambo yetu au ni wengine?

2014-11-10 20:20 GMT-05:00 Augustine Rukoma <rukomapekee@gmail.com>:
Nyoni umenikumbusha na mwinine yongolo, wapo wengi tu

On 11/10/14, Nyoni Magoha <john.magoha@gmail.com> wrote:
> Bongo bwana!
>
> Kwahiyo foleni kwa Dr. Yongolo ilikuwa ndeeefuuuuu hakuweza kusubiri?
>
> 2014-11-10 4:32 GMT-05:00 'Leila Sheikh' via Mabadiliko Forum <
> mabadilikotanzania@googlegroups.com>:
>
>> Jul,
>> Ipo ngiri maji
>> Lipo tezi dume.
>> Ngiri maji inatibika hata Bombo hospital Tanga.
>> Tezi dume ni tofauti jamani
>>
>> Leila Sheikh
>>
>> On 10 Nov 2014, at 11:33, "'Julius Mtatiro' via Mabadiliko Forum" <
>> mabadilikotanzania@googlegroups.com> wrote:
>>
>>
>>
>> Tatizo ni kubwa zaidi, viongozi na hata serikali yenyewe haiamini
>> matibabu
>> ya ndani ya nchi. Tezi  dume ni ugonjwa  wa kawaida "common" sana Pwani
>> ya
>> Tanzania. Na unatibika pale Muhimbili kirahisi mno, na oparesheni zake
>> asilimia kubwa huwa salama.
>>
>>
>> Tunapoenda kutibu tezi dume Marekani ina maana hatuziamini huduma zetu
>> asilimia mia moja, hatuwaamini wataalamu wetu, tumeshindwa kuimarisha
>> sekta
>> ya afya na hatujui tulifanyalo, na sasa tunaokolea maisha yetu nje.
>>
>>
>> Pamoja na kumtakia mhe. rais kila la heri (kwa sababu ni Rais wangu na
>> binadamu mwenzangu), lakini nasikitishwa sana na hali hii.
>>
>>
>> Na kuna watanzania wanatetea hali hii, badala ya kuungana pamoja na
>> kusema
>> "hapana kwa matibabu ya tezi dume nje ya nchi, Inawezekana hapa
>> nyumbani".
>>
>>
>>
>> Julius Mtatiro,
>>
>> Phone;       +255717536759,
>> Email;        juliusmtatiro@yahoo.com
>> Twitter;       https://twitter.com/Julius_Mtatiro
>>
>>
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forum" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
>> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
>> To view this discussion on the web visit
>> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/09C6CA43-D60E-4758-A367-98F9DA4BBA4C%40yahoo.com
>> <https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/09C6CA43-D60E-4758-A367-98F9DA4BBA4C%40yahoo.com?utm_medium=email&utm_source=footer>
>> .
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>  --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forum" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
>> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
>> To view this discussion on the web visit
>> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/0CB4D22C-5376-4286-9FE6-DE46CA880CB4%40yahoo.com
>> <https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/0CB4D22C-5376-4286-9FE6-DE46CA880CB4%40yahoo.com?utm_medium=email&utm_source=footer>
>> .
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> To view this discussion on the web visit
> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADaCgq%3D%3D1J9B7d%2BwZs4PMcr%3DXYR7F0ma5nmuDyPCK9k07YwOZw%40mail.gmail.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
mission without implementation is hallucination

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CABs-M3bCY3MLbW%2B5F5omQBCbWLFLJoNjSmE7%2BLoT1mJc%2BGCmLg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADaCgqkm59P-zdeF2zi4MoqHXhc9Rr5A9BZ4HT%3D2jDqXPgxyKg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments