[Mabadiliko] MUONGOZO WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Thursday, November 13, 2014

Wakuu.

Kwenye attachment ni muongozo wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni muhimu kwa wapenda mabadiliko kuusambaza waraka huo kwenye maeneo yenu mnayoishi/mnayo toka ili watu wawe na uelewa wa kutosha kuelekea uchaguzi SM.

Toeni elimu ya kutosha na shirikisheni makundi mbalimbali yajue wajibu wao na haki zao. Mabadiliko yanaanza kwenye kitongoji chako/kijiji chako/ au kwenye mtaa wako.

Kila jema na lenye kheri lisiwaponyoke

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACnUXJsp18sWU%3DD-im9u32z1MY3mpFmre5HwWtUE%2BAGLexoKKA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments