habari zenu ndugu,
napenda kuitambulisha kwenu kwa mara ya kwanza tamasha nililoliandaa liitwalo SWAHILI CARNIVA
Ni tamasha la kuudumisha na kuuendeleza utamaduni wa mswahili.
tamasha litahusisha vyakula, vinywaji, mitindi, lugha, mavazi, muziki, tekinolojia pamoja na vitu vyoote vinavyomhusu mswahili.
tamasha hili litafanyika mwaka huu kwenye viwanja vya posta kuanzia tarehe 28 hadi 30 mwezi wa 11 mwaka huu.
tamasha litaanza asubuhi hadi saa sita usiku
ninaomba kuwakaribisha rasmi kwenye tamasha hili kwa kiingilio cha 10000 (elf kumi tu) hapo utaweza kujionea shuhuli zote zinazowahusu waswahili. kauli mbiu yetu mwaka huu ni kiswahili chetu utamaduni wetu.
bado tunakaribisha wadhamini pia kwenye tamasha hili.
karibuni sana sana kwa kukodi matent ya kuonyesha bidhaa na huduma zenu kwenye tamasha
mawasiliano: 0784670746
hildangaja@yahoo.com
karibuni sana
swahili carnival
kiswahili chetu utamaduni wetu
hilda
(mwanabidii mwenzenu)
0 Comments