[wanabidii] Trafiki wanapompiga mwanajeshi hadharani ........utawala wa sheria huo?

Monday, November 05, 2012
Hii ilitokea Moshi na kuwekwa kwenye blogu ya Michuzi jana...................................
 
Huu ni udhalilishaji mkubwa wa sare ya JWTZ pamoja na kwamba kuna tatizo kati ya wanajeshi na trafiki lakini hili si jambo la kufanya hadharani. Hawa wote ni wa kuchukuliwa hatua.
 

Share this :

Related Posts

0 Comments