URAIS 2015 : MHE TUNDU LISSU ALIWAHI KUUGUA KICHAA
" Niliwahi kumtibu kichaa Tundu Lissu " Mhe Kingwangalla
- Alitumia fedha za mradi wa kutunza mazingira mwaka 2010 kwenye kampeni zake za kugombea ubunge , fedha zilizolewa na wafadhili .
- Matokeo ya Ulaji wa fedha hizo ndio kifo cha NGO hiyo ya mazingira ambayo yeye aliitumia kuingilia kwenye ulingo wa siasa .
- Anatuhumiwa kupewa mafunzo na shirika moja la ujasusi wakati anafanya kazi kwenye nchi moja ya ulaya kama mwanasheria na mtaalamu wa mazingira .
- Aliwahi kupatiwa fedha na Serikali moja ya kimagaribi ili akatetee maslahi yake Bungeni kwenye masuala ya madini na mazingira .
- Aliwahi kutishia Kuingingiza nchi kwenye vita endapo mgombea mmoja asingepitishwa mwaka 2010 - Hii ni taarifa ya chama chake .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments