Uongozi Fundamentalism...!
Ndugu zangu,
Uongozi ni uongozi, uwe ni kwenye ngazi ya familia, kijiji, taifa, kampuni au taasisi. Bahati mbaya, kuna miongoni mwetu wenye kuitafsiri vibaya dhana ya uongozi.Kwamba kwao kiongozi ina maana ya kiongozi wa kisiasa tu.
Ni makosa, maana, kuna hata wenye kugombania nafasi za uongozi wa michezo kama ngazi ya kuelekea kwenye uongozi wa kisiasa. Hawauoni uongozi wa michezo kama ni uongozi.
Ni dhana potofu, kuwa mtu kuwa kiongozi ina maana ya uongozi wa kisiasa tu. Hata mwenyekiti wa chama cha wakokota mikokoteni naye ni kiongozi wa wakokota mikokoteni.
Na kufikiri kuwa uongozi ni wa kisiasa tu, basi hicho ndicho ninachoikiita´ Uongozi Fundamentalism`. Tafakari.
Maggid Mjengwa,
Dar Es Salaam.
0754 678 252
-- Ndugu zangu,

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments