
| 7:31 AM (3 hours ago) ![]() | ![]() ![]() | ||
|
CHUKI ZA KIDINI NA KIKABILA
Kete yake kubwa ni Ukabila na Udini
Mara kadhaa amewahi kuwatusi wenzake kutumia imani zao za dini na makabila , aliwahi kumdhalilisha Mhe wasirra kwa kumwita Sokwe na Kumwita Rais kikwete Mkwere na Kutumia Dini yake ya Uislamu kumdhalilisha .
VURUGU ZA UCHAGUZI ZAMBIA
Uchaguzi wa Mwisho kufanyika Zambia uliambatana na Vurugu , Dr A Rukoma alikuwa Mbawa ya Ndola aliendesha vurugu na Uharibifu tokea Eneo hilo .
Baadaye alisambaza ujumbe kwenye Mitandao eti yuko hatarini
AJALI YA UZUSHI
Miezi kadhaa iliyopita aliwahi kusambaza Ujumbe kwamba amepata ajali lakini katoka mzima .
Ukweli ni kwamba hakupata ajali , alifanya jaribio la kumdhuru mtu Zambia.
Alipokamatwa na Askari wa Zambia akasambaza tena ujumbe Kwa watu lakini hakusema kama kulikua na uhusiano na tukio la Kudhuru .
WANACHAMA WA MABADILIKO FORUMS
Dr A Rukoma alianza utaratibu wa kuomba mawasiliano ya wanachama wote wa Mtandao wa wanabidii akashindwa alivyohamia Mabadiliko hoja yake ilikubaliwa wanachama wote walijisajili majina yao yote , walipo na mawasiliano ya simu .
Orodha ya watu wote aliowasajili anayo yeye pamoja na wasimamizi kadhaa wa mtandao wa mabadiliko .
Idadi hii ya watu alipewa bwana Muta ambaye nae anajua alipoipeleka , Bwana Muta amewahi kumtisha Mhe Zitto Kabwe mara kadhaa .
TAASISI YA MABADILIKO TANZANIA
Walioingia kwenye mtego wa Taasisi ya Mabadiliko hawakujua mengi .
Dr Rukoma , Dada Mmoja na Mtu mmoja wa Makao makuu ya Chadema walitumia taasisi hii kama Daraja la kupata vyeo ndani ya CHADEMA ambapo mmoja ameshapata , Nyuma ya Pazia ilitaka kutumika kupitishia fedha kwa ajili ya Shuguli haramu Ndani ya Tanzania – Bado uchunguzi unaendelea kuhusu taasisi hii .
SAFARI YAKE YA MWISHO DAR ES SALAAM
Katika Andiko lake la mwisho alisema mara ya mwisho kukanyaga dar ni miaka 5 – 6 iliyopita hii si kweli .
Mara ya mwisho alifika Tarehe Sita mwezi wa 5 mwaka 2014 , alifikia kwa mhujumu mwenzake Mbagala .
Alitumia pasi Bandia ya Yenye Jina Mateo Alberto Pawasa
Siku inayofuata alienda kuonana na Mama Fatma , Mke wa Mabula Sabula anayeshikiliwa Italia kwa Madawa ya Kulevya .
Kabla ya kuondoka alikutana na Dada Joy wa Hospitali ya Muhimbili ambaye anachunguzwa kwa Biashara za Viungo vya watu .
ANAVYOPOKEA NA KUTUMA FEDHA
Hela zake anapewa kuweka kwenye vikundi vya kiharakati kama gia ya kusaidia au kujifanya mwanachama wa harakati ili awe karibu na watu kwa lengo la kuwa brainwash ili aweze kuwatumia dhidi ya taifa pale atakapopenda kama alivyojaribu kufanya Muhimbili , akahamia Wanabidii na Sasa Mabadiliko Tanzania .
NDUGU ZAKE WA KARIBU
Ndugu zake wa Karibu sana wanaishi Rwanda na Uganda
MAANDAMANO MUHIMBILI
Wakati Akiwa Chuo Muhimbili alihakikisha anakamata madaraka kwa lengo la kuandaa maandamano makubwa kuelekea Ikulu ya Tanzania , Jaribio hili lilishindwa kwa sababu makachero walimuondoa kwenye nafasi hiyo na mwisho wake uliishia hapo .

--
'Walk The Talk'
Frederick M. Katulanda
Cell: +255 784 642620,
Alternative:+255 754 642620
E-mail: fkatulanda@yahoo.com
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAJRvra2%2BHO4hjNHAE%2BeYV_N9tL4nLKOrTFUCkAKeM2UfTq%2BsZg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments