Ndugu zangu, napenda kuwakaribisha mtutembelee kwenye kituo chetu cha Kikristo (ACMTC-Missionary Training Centre.) kilichoko Kimara-Temboni, Mtaa wa Upendo, Dar. Tunatoa kwa Kiingereza tracts, vitabu, vijitabu,magazeti, Cassettes, CDs,DVDs, VHSs, etc bure kwa wale wote wanaotaka kuijua Kweli na kupeleka Injili ya Yesu Kristo duniani kote.Frank
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti yetu: http://www.aggressivechristianity.net
0 Comments