[wanabidii] Bonanza kubwa la Temeke Family & Sports lafana Dar live Mbagala

Sunday, May 04, 2014

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: Phares Magesa <pmagesa@icloud.com>
Date: Sun, 4 May 2014 16:43:28
To: Phares Magesa<magesa@hotmail.com>
Subject: Fwd: Bonanza kubwa la Temeke Family & Sports lafana Dar live Mbagala


>
> Bonanza kubwa la wanamichezo wa Wilaya ya Temeke limefanyika katika ukumbi wa Dar live Mbagala ambapo vilabu zaidi ya 50 vilishiriki na jumla ya vijana na wanamichezo zaidi ya 2000 walishriki.
> Wazungumzaji walikuwa ni MNEC wa Temeke na Mlezi wa VIJANA hao Ndg. Magesa, Naibu Meya wa Temke Mhe. Mkenga na Kamanda wa Polisi Temeke Ndg. Kiondo ambapo kwa nyakati tofauti waliwataka wanamichezo na vijana kuzingatia sheria za barabara wakati wa Jogging ili kuepuka ajali na pia wafanyabiashara wadogo wadogo nao wafuate sheria ili kujipatia kipato halali, kubwa zaidi waliwaasa vijana kupiga vita madawa ya kulevya na vilevi ili wawe raia bora na kushiriki kwenye Ujenzi wa Taifa .
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments