[Mabadiliko] Neno La Leo; Mbwa ukimhujumu...

Monday, March 24, 2014


Ndugu zangu,

Mbwa ukimhujumu atapumua huku ulimi ukiwa nje, lakini, hata ukiacha kumhujumu, pia atapumua ulimi ukiwa nje. Yote hayo yana tafsiri yake.

Vinginevyo, ni mfano wa wenye kuzikanusha alama za nyakati. Wasio wepesi wa kuziona ishara.

Na mbwa mwitu wawili waliotumwa kwenye kundi la mbuzi hawaleti madhara zaidi kuliko madhara yatokanayo na mwanadamu mwenye pupa na tamaa ya madaraka na mali.

Hayo yaweza kuleta maangamizi kwa jamii.

Ni Neno La Leo.

Maggid Mjengwa,
Iringa.

http://mjengwablog.com

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye4_HLf43L4-aF9JM2DRmNAD%2Bvdi35Ri1bvaOSGgV8QTJQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments