Mie kuhusu uteuzi wa bunge la katiba sina shida kabisa kama muundo wa uteuzi uliwekwa hivyo.
Mie nina tatizo na walioukataa muundo na sheria ilyokuwa inampa mamlaka rais ya kuteua wabunge hao, lakini badae wakapata nafasi ya kukaa na mkuu wa nchi Ikulu na kuafiki mambo ambayo mpaka leo hawajatwambia walikubaliana nini walipokutana.
Mapatano yao yalikuwa ndio sababu ya kuahirisha mpango wa maandamano nchi nzima kama walivyokuwa wamedhamiria.
Hakuna anayefahamu walikubaliana nini mpaka sasa hali hii inatuaminisha kuwa aliyoyafanya Rais ndiyo waliyokubaliana.
Nawangojea wajitokeze waseme kama hawakuafikiana nae juu ya muundo wa utezi huu na watwambie waliafiki kitu gani, na kama waliafikiana hivyo, basi wawambie mashabiki zao wasiojua ili waache kuumiza vichwa na vidole kwenye mitandao!
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments