[wanabidii] KWA NINI KUNATOKEA MIGOGORO YA ARDHI?

Sunday, January 05, 2014
KWA NINI KUNATOKEA MIGOGORO YA ARDHI?

Jana kulifanyika kikao kati ya wanakijiji cha Mangamba na mkuu wa Wilaya Mtwara Mjini kuhusu ardhi ambayo kwa sasa ni ardhi ya serikali kwa lngo la kupanua Airport kabala ya mwaka 1988 ardhi hii ilikuwa ni ya kijiji na wanakijiji waliitumia wapendavyo kwa sababu ni yao ,matumizi kama ya kilimo,ufugaji ,makazi nk ilipofika mwaka 1988 serikali iliitaji ardhi hiyo na kuwapatia Airport ikafanyika uthamini lakini hawakulipwa fidia na leo sherika la Airpot wantambua kuwa ni lao ,tagu wakati huo wanakijiji wameamua kuuza maeneo yao na kuzua mjadala kiasi ambacho Mkuu huyo wa Wilaya akalazima kwenda kukutana nao ili kuweka sawa lililowafikiwa kutoka katika maoni na maswali mbalimbali ni kuwa uthamini unatakiwa ufanyike tena huku Mkuu wa Wilaya akilazimisha lazima wapatikane wamiliki waasili atakama eneo hili limeuzwa na kununuliwa na asie kuwa mkazi wa asili,kesi hii ilipata kutokea Kurasini Dar es-salaam leo imetokea huku Mtwara .

Athari ya matatizo kama hii ya ardhi tushaiona katika miji kama Mvumero na maeneo mengine.NINI MAONI YAKO MWANA MTWARA NA LINDI?POINT ZA KUJADILI NI 

1.NINI CHANZO CHA MIGOGORO YA ARDHI

 2.MAONI YAKO NI YAPI KUHUSU KADHIA HII 

3.NINI SULUHISHO LA KUDUMU ie isije kutokea tena

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments