1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela.
2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma.
3. Taifa ambalo bank haikutafuti we ndo unaihonga ikukopeshe.
4. Taifa ambalo ukifeli unakuwa mtangazaji wa kipindi maalumu kabisa.
5. Taifa mbalo simu kali ni dili hata kama vocha waweka za jero jero.
6. Taifa ambalo ILI uonekane msomi basi utukane chama tawala
7. Taifa ambalo warembo washajiona wao ni waomba kusaidiwa daima.
8. Taifa ambalo kila mtu anataka ajue bei ya kitu ulichonunua!
9. Taifa ambalo usipoiba unaonekana sio mjanja tena ni mjinga wa mwisho!
10. Taifa ambalo kila mtu analalamika hana ela, mpe dili sasa, anaanza longolongo
11. Taifa ambalo sanne lina foleni ya watu wanaenda makazini
12. Taifa ambalo ukisema upo ofisini satatu usiku unashangawa ila upo club sanane usiku unasifiwa
13. Taifa ambalo kusema jana nlikuwa bata sana ile mbayaaaa ni dili na waonekana mjanja
14. Taifa ambalo bila kuigana siku haijapita
15. Taifa ambalo kila anayehojiwa anasema "Naiomba Serikali iliangalie suala hili"
16. Taifa ambalo ukiwa na gari hutongozi unatoa tu lift kitu shaa
17. Taifa ambalo kulipa bili yako pekeako ukaruka za wengine ni vita
18. Taifa ambalo chama kinawavisha wanachama wake magwanda jua kali
19. Taifa ambalo viongozi wanajua "hawa watazoea tu" washazoea umeme, washazoea "haijajulikana", watazoea na hii
20. Taifa ambalo kijiMC kidonyo tu kinaweza kufariki Taifa zima likageukia Msiba
21. Taifa ambalo kuteswa ni kunyofolewa Meno na Kucha
22. Taifa ambalo viongozi wake wana mipasho ka taarabu
23. Taifa ambalo vijana wameombwa wasipondee bali wasifie nchi
24. Taifa ambalo hata bomu likilipuka Arusha, wa Mbagala anajichagulia jina la Mlipuaji
25. Taifa ambalo Raisi Vijana hawezi kufikiri mpaka wafikiliwe
-- 2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments