[Mabadiliko] MKAMIA AIWASHAMBULIA WAANDISHI BADALA YA KUJADILI MUSWADA WA SHERIA

Wednesday, September 04, 2013
Angalieni hotuba ya Mkamia bungeni, baada ya wabunge was upinzani (isipokuwa Mrema) kutoka nje, waandishi wakwafuatilia kutekeleza wajibu wao, Juma Mkamia, anatumia muda mrefu kujisifu kwa kufanya kazi kwenye vyombo vya kimataifa vya habari anashindwa kujenga hoja ya msingi iliyopo mezani.

Huyu jamaa vipi?

Share this :

Related Posts

0 Comments